Kama umewekeza au unakusudia kuwekeza kwenye meme coin aina ya PEPE basi video hii inakufaa mno kuliko kawaida.
Pia tukiwa tunaelekea kwenye kipindi cha soko la dume (bull market) basi
ni mhimu zaidi ukawa na akaunti ya Binance kwa lengo la kufahamu zaidi wapi uanzie safari yako ya sarafu mtandao kupitia Binance ukitumia kiunganishi hiki hapa.
https://accounts.binance.info/register?ref=38635868
#pepe #2025 #memecoins